Ipab Hotels
Kila kitu unachohitaji kuendesha hoteli yako vizuri Anza Jaribio la Bure Login
SaaS Hotel Management System

Mfumo kamili wa usimamizi wa hoteli kwa biashara zinazokua.

Pata udhibiti kamili wa uhifadhi vyumba (bookings), ufuatiliaji wa mapato yako, na uratibu bora wa wageni—yote kutoka kwenye mfumo mmoja imara ulioundwa kwa ajili ya wamiliki wa hoteli wa kisasa.

Inaaminiwa na hoteli kote Tanzania

Hotel Rolax
Jb Series Hotel
Raha Residence
House of Trice
The One Hall & Garden
Hotel Rolax
Jb Series Hotel
Raha Residence
House of Trice
The One Hall & Garden
SmartHotels Dashboard Preview

Kila kitu unachohitaji kuendesha hoteli yako vizuri

Built purposely for the Tanzanian hospitality market, providing a seamless experience from check-in to check-out.

With centralised tools, smart automation, and seamless connectivity to key booking channels, you can grow your business with more control and less effort.

Anza Jaribio la Bure

Usimamizi Bora wa Vyumba

Fuatilia kwa urahisi upatikanaji wa vyumba, panga vyumba, na udhibiti usafi kwa wakati halisi. Epuka kupangisha chumba kimoja mara mbili. Husaidia mameneja kuongeza ufanisi.

Udhibiti wa Uhifadhi (Bookings)

Simamia uhifadhi, badilisha tarehe, na ufuatilie watu wanaoingia na kutoka kwa urahisi kutoka kwenye dashibodi moja. Inakupa picha kamili ya uhifadhi wako wa kila siku.

Kuingia na Kutoka kwa Wageni (Check-in/out)

Mchakato rahisi wa kuingia na kutoka kwa wageni ukitumia rekodi za kidijitali na utoaji wa risiti mara moja. Hupunguza muda wa wageni kusubiri.

Malipo ya Mgahawa na Huduma Vumbani

Unganisha mgahawa wako moja kwa moja kwenye bili za wageni. Uwezo kamili wa mfumo wa mauzo (POS) kwa ajili ya chakula na vinywaji. Hakikisha hakuna kinachopotea.

Imejengwa kwa ajili ya mafanikio yako

Iwe unasimamia hoteli ndogo ya kisasa, loji yenye shughuli nyingi, nyumba ya wageni, au apartments, mfumo wetu unakidhi mahitaji yako.

Uko tayari kuboresha ufanisi wa hoteli yako?

Pata maelezo na uone jinsi mfumo wetu unaweza kurahisisha kazi zako za kila siku.

1
2
3

Basic Details

Location & Contact

Property Details